Queen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Freddie Mercury.

Queen ni bendi ya muziki wa rock kutoka Uingereza iliyoanzishwa mwaka 1970. Iliumbwa na Freddie Mercury (mwimbaji), Brian May (gitaa), Roger Taylor (ngoma) na John Deacon (besi). Walifanya albamu 15 za studio tangu mwaka 1973 mpaka mwaka 1995. Tangu Freddie Mercury amepofa mwaka 1991 Queen wameshirikiana na wanamuziki wengine, kwa mfano Paul Rodgers (miaka 2004–2009).

Queen wamefanya nyimbo zingi maarafu, kama "Bohemian Rhapsody" (1975), "We Will Rock You" (1977), "We Are the Champions" (1977), "Another One Bites the Dust (1980) na "The Show Must Go On" (1991).

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

Albamu za studio[hariri | hariri chanzo]

Albamu za live[hariri | hariri chanzo]

Albamu za kompilesheni[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]