Muziki wa rock

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Bendi ya muziki wa rock

Muziki wa rock ni jina la kutaja aina ya muziki wa pop ambao mara nyingi, lakini siyo siku zote, unapigwa kwa gitaa la umeme, besi gitaa, ngoma, na kuimba. Ukaanza kukuza na muziki wa blues mnamo miaka ya 1960, yaani blue rock. Tangu nyakati hiyo, aina kedekede za muziki wa rock zikaanza kutoka.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Musical notes.svg Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Muziki wa rock kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.