Brian May

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Brian May

Brian May (amezaliwa 19 Julai 1947) ni mwanamuziki na mwanaastrofizikia kutoka Uingereza. Pamoja na Freddie Mercury, Roger Taylor na John Deacon aliumba bendi ya Queen mwaka 1970. Anacharaza gitaa, na aliandika nyimbo zingi maarafu kwa Queen, kwa sababu "We Will Rock You", "Who Wants to Live Forever", "Hammer to Fall", "Fat Bottemd Girls" na "I Want It All". May amefanya pia albamu bila Queen.

Albamu[hariri | hariri chanzo]