Sabuni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sabuni ya watoto.

Sabuni ni kifaa cha kuletea usafi katika mwili wa binadamu au kitu chochote.

Inatumika kwa ajili ya kusafishia na kuogea, na matumizi mengine mengi.

Katika kemia ni chumvi ya asidi mafuta.

Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sabuni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.