MS-DOS

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nembo ya MS-DOS

MS-DOS ni mfumo wa uendeshaji wa kompyuta wa Microsoft Corporation. Ni kifupisho cha "Microsoft disk operating system".

Ilikuwa imetumiwa kwa kawaida kwenye kompyuta kabla ya mfumo wa uendeshaji unaoitwa Microsoft Windows: ulikuwepo na bado una upo katika maeneo fulani, haujatoweka.

OS/2 ulitengenezwa awali kwa makubaliano ya makampuni ambayo huitwa Microsoft na IBM. OS/2 ilihifadhiwa na IBM hadi 2006. OS/2 ilitakiwa kuchukua nafasi ya MS-DOS, lakini uingizaji huo haukufanikiwa.

MS-DOS ulikuwa mfumo wa uendeshaji wa Windows na kuendelea kutoa matoleo mapya mpaka mfumo wa kisasa wa Windows XP.