Shinzō Abe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Shinzō Abe Official.jpg

Shinzō Abe (安倍 晋三, Abe Shinzō; amezaliwa 21 Septemba 1954) ni mwanasiasa wa Kijapani ambaye amewahi kuwa Waziri Mkuu wa Japani na Rais wa Chama cha Kidemokrasia cha Liberal (LDP) tangu mwaka 2012.

Crystal personal.svg Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shinzō Abe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.