Tikisa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Tikisa
Tikisa-majumba
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Passeriformes (Ndege kama shomoro)
Familia ya juu: Passeroidea
Familia: Motacillidae (Ndege walio na mnasaba na matikisa)
Jenasi: Dendronanthus Blyth, 1844

Motacilla Linnaeus, 1758

Spishi: Angalia katiba

Matikisa au vibikula ni ndege wa jenasi Motacilla na Dendronanthus katika familia ya Motacillidae. Wana mkia mrefu ambao wautikisa mara kwa mara. Ndege hawa ni wadogo na wembamba na spishi kadhaa zina rangi nzuri. Hukamata wadudu ardhini na hutaga mayai 4-8 ndani ya kikombe cha manyasi ardhini.

Spishi za Afrika[hariri | hariri chanzo]

Spishi za Asia[hariri | hariri chanzo]

 • Dendronanthus indicus (Forest Wagtail)
 • Motacilla flava (Yellow Wagtail)
  • Motacilla f. leucocephala (White-headed Yellow Wagtail)
  • Motacilla f. melanogrisea (Turkestan Black-headed Wagtail)
  • Motacilla f. plexa (North Siberian Yellow Wagtail)
  • Motacilla f. simillima (Bering Sea Yellow Wagtail)
 • Motacilla tschutschensis (Eastern Yellow Wagtail)
  • Motacilla t. angarensis (South Siberian Yellow Wagtail)
  • Motacilla t. macronyx (Southeast Siberian Yellow Wagtail)
  • Motacilla t. taivana (Green-crowned Yellow Wagtail)
  • Motacilla t. tschutschensis (Beringian Yellow Wagtail)
 • Motacilla grandis (Japanese Wagtail)
 • Motacilla lugens (Black-backed Wagtail)
 • Motacilla madaraspatensis (White-browed Wagtail)
 • Motacilla samveasnae (Mekong Wagtail)

Picha[hariri | hariri chanzo]