Kiassam

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiassam ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Waassam. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiassam imehesabiwa kuwa watu 12,800,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiassam iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiassam kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.