Mchicha
Mandhari
| Mchicha (Amaranthus) | ||||||||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mchicha | ||||||||||||||||
| Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Mchicha (Amaranthus spp.) ni jamii mojawapo ya mboga za majani. Hutumika sana na watu wengi katika Afrika ya Mashariki. Husaidia katika kuona.
Picha
[hariri | hariri chanzo]- Aina nyekundu
- Maua
- Maua ya kiume
- Maua ya kike na mbegu moja
- Mbegu
- Chakula chenye majani ya mchicha