Marseille

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mji wa Marseille
bendera
Jiji la Marseille

Lua error in Module:Location_map at line 510: Unable to find the specified location map definition: "Module:Location map/data/Ufaransa" does not exist.Mahali pa mji wa Marseille katika Ufaransa

Majiranukta: 43°17′47″N 5°22′12″E / 43.29639°N 5.37°E / 43.29639; 5.37
Nchi Ufaransa
Mkoa Provence-Alpes-Côte d'Azur
Wilaya Bouches-du-Rhône
Idadi ya wakazi
 - 855,393
Tovuti: www.marseille.fr
Blason Marseille.svg

Marseille ndiyo mji mkuu wa mkoa wa Provence-Alpes-Côte d'Azur, kusini mwa Ufaransa.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2013, mji una wakazi wapatao milioni 1.7 wanaoishi katika mji huu.

Mji uko mita 0-640 juu ya usawa wa bahari.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Flag France template.gif Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Marseille kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.