Tour de France

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mbio wa mwaka 2006

Tour de France ni shindano mashuhuri la baisikeli nchini Ufaransa[1].

Ilianzishwa mwaka 1903 ikiendelea kila mwaka, kwa kawaida katika mwezi wa Julai.

Jina linamaanisha "Ziara ya Ufaransa" kwa sababu washiriki wanapitia Ufaransa yote katika muda wa wiki 3, na wakati mwingine sehemu za mbio zinaingia pia katika nchi jirani.

Inatazamwa kama mbio wa baisikeli mgumu zaidi duniani.[2] Washiriki ni wanaume pekee.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.telegraph.co.uk/cycling/0/tour-de-france-rules-2020-jerseys-how-riders-go-toilet/ Tour de France rules: What do the jerseys mean and just how do riders go to toilet?, Tovuti ya Telegraph.co.uk ya 20.09.2020
  2. https://www.britannica.com/sports/Tour-de-France Tour de France, Encyclopedia Britannica
Football.svg Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tour de France kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.