Nenda kwa yaliyomo

Flamenco

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kundi la Flamenco; mwimbaji anaketi juu ya sanduku anayopiga kama ngoma

Flamenco ni jina la aina ya muziki na dansi katika utamaduni wa Hispania.

Inajumlisha

  • uimbaji (his. cante)
  • muziki ya ala (his. toque), hasa gitaa
  • dansi

Tangu mwaka 2010 Flamenco inahesabiwa kati ya urithi wa dunia.

Sehemu ya uimbaji ni pia upiga wizani. Hapo kuna njia mbalimbali: kwa makofi, kwa miguu, kwa kupiga ala kama ngoma, kwa kastaneti ambazo ni vipande vya ubao vinavyofungwa kwenye vidole.

Sehemu ya ndani mara nyingi ni mwanaume mmoja na mwanamke mmoja mbele ya watazamaji, isipokuwa kuna pia makundi ya wachezaji dansi mbele ya watazamaji wanaounga katika kupiga wizani.


Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

  • Celina Zambon dances [1]
  • Traditional flamenco by José Greco [2]
  • Notable for the voice and guitar as well as the dance by Sara Barras [3]
Angalia miguu inayopiga wizani kwenye ardhi