Wivu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

"Wivu" ni kumuonea mtu kijicho, kutotaka mwingine apate au kufanikiwa kwa sababu wewe hujafanikiwa kama yeye alivyofanikiwa, unataka uwe na kile ambacho mwenzako anacho au hutaki mwenzako apate kitu chochote. Pia mi husuda, hisia nzito kuhusu mtu.

WikiLettreMini.svg Makala hii kuhusu "Wivu" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.