Sentensi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Sentensi ni kipashio kikubwa cha kimuundo ambacho kimeundwa na kirai nomino(KN) na kirai kitenzi(KT) ambacho hutoa taarifa fulani. kimsingi kirai nomino kinamiundo mbalimbali katika lugha ya Kiswahili. miundo hiyo ni kama vile;

  • Mfano wa nomino pekee:- mama anapika.
  • Mfano wa nomino na kivumishi:- kijana mrefu amepotea.
  • Mfano wa nomino na kibainishi:- juma bakari ni mwanafunzi.

Aina za sentensi[hariri | hariri chanzo]

Makala kuu ya: Tungo sentensi

Kuna aina kuu nne za sentensi nazo ni:

  • Sahili
  • Shurutia
  • Ambatano
  • Changamano

Muundo wa sentensi[hariri | hariri chanzo]

Sentensi huundwa kwa sehemu kuu mbili:

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sentensi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.