Nenda kwa yaliyomo

Vivumishi vya jina kwa jina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mifano
  • Nguruwe pori ameuawa
  • Pilipili kichaa ni kali sana
  • Bata maji anaogelea
  • Askari kanzu amegongwa na gari
  • Dagaa mchele ni watamu sana
  • Bwana shamba amehamia mbali

Vivumishi vya jina kwa jina ni aina ya vivumishi ambavyo jina moja hutoa taarifa ya ziada kuhusu jina lenzake.

Mfano
  • Mbwa mwitu ni wakali sana (mbwa ni jina na mwitu ni jina vilevile - yakikutana yanaleta maana ya jina jingine tofauti na la mbwa wa kawaida).

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Lango:Lugha

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vivumishi vya jina kwa jina kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.