Nenda kwa yaliyomo

Viwakilishi vya sifa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mifano
  • 'Mfupi amelala
  • Mjinga hayupo
  • Mbaya atakuja
  • Mwalimu mkali amepita

Viwakilishi vya sifa ni neno/maneno ambayo hutaja sifa - yanayosimama badala ya nomino inayosifiwa.

Mifano
  • Warefu wamesimama
  • Mzuri amepita
  • Kibaya kinajitembeza
  • Mpole amekuja
  • Mwelevu hukaa kimya

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Viwakilishi vya sifa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.