Vivumishi vya urejeshi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mifano
  • Gari lililogongwa limepasuka vioo
  • Mzee aliyeondoka ni babu yangu
  • Chakula kilichofunikwa kitachacha
  • Mtoto aliyezaliwa ni mweupe sana
  • Viatu vilivyoshonwa

Vivumishi vya urejeshi ni maneno yanayotoa taarifa ihusuyo nomino au kiwakilishi cha nomino kwa kutumia kirejeshi kinachorejelea nomino ambayo imetajwa. Aina ya Vivumishi rejeshi ni “o” na “-amba”

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vivumishi vya urejeshi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.