Nenda kwa yaliyomo

Viwakilishi vya urejeshi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mifano
  • 'Kitokacho salama heri
  • Kikulacho kinguoni mwako
  • Alimoingia mna vumbi sana
  • Vitakavyonunuliwa vitatunzwa sana

Viwakilishi vya urejeshi ni maneno yanayorejelea nomino ambayo haikutajwa. Maneno hayo huwa na kirejeshi kinanachorejelea nomino yenyewe haitajwi.

Mifano
  • Aliyemaliza aondoke
  • Kilichoiva kitaliwa chote
  • Iliyojengwa bondeni itabomolewa
  • Asiyekujua hakuthamini
  • Lililoiva sana litaliwa leo usiku

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Viwakilishi vya urejeshi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.