Vivumishi vya amba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mifano
  • Nguo ambazo zimeshonwa, zitauzwa
  • Viti ambavyo vimenunuliwa, ni imara sana

Vivumishi vya amba ni maneno ambayo hurejelea nomino au kiwakilishi cha nomino ambayo imetajwa kwa kutumia mzizi wa amba- pamoja na o- rejeshi (urejeshi) inayorejelea nomino husika.

Mfano
  • Kikombe ambacho kilipotea
  • Mtoto ambaye anaumwa amepelekwa hospitali
  • Jembe ambalo limekatika mpini, litatengenezwa

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vivumishi vya amba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.