Vivumishi vya -a unganifu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mifano
  • Kiatu ch-a mtoto kimekatika
  • Jiko l-a jirani yangu ni zuri
  • Ujuzi w-a mwanao ni mzuri sana
  • Gari z-a kukodi zina mambo
  • Chupa y-a soda

Vivumishi vya -a unganifu ni maneno yanayotoa taarifa ihusuyo nomino au kiwakilishi cha nomino kwa kuunganisha taarifa hiyo ya nomino kwa kutumia mzizi wa -a unganifu.

Mifano
  • Chakula ch-a mtoto hakijapikwa
  • Jiko L-a kupikia limelipuka
  • Mwalimu w-a Kiswahili amesafiri
  • Ndizi z-a Bukoba ni tamu
  • Gari y-a jirani imeibiwa

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vivumishi vya -a unganifu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.