Nenda kwa yaliyomo

Viwakilishi vya amba-

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Viwakilishi vya amba)
Mifano
  • 'Ambaye hana kazi aje
  • Ambalo limechoka weka pembeni
  • Ambazo hazipo, basi
  • Ambacho hakiwezekani, basi

Viwakilishi vya amba ni neno/maneno yanayosimama badala ya nomino kwa kutumia mzizi wa amba-.

Mifano
  • Ambaye amemaliza aje
  • Ambalo lina kutu litatupwa
  • Ambazo zimeiva zitaliwa
  • Ambayo imejengwa bondeni itabomolewa
  • Ambacho kina sumu kitatupwa shimoni

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Viwakilishi vya amba- kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.