Viwakilishi vya kuonesha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mifano
  • Hili halifai.
  • Yule kachoka sana.
  • Hicho ni changu.
  • Huyu ni mfanyakazi mwenzangu.
  • Wale wameshiba.

Viwakilishi vya kuonesha (pia: kiwakilishi cha kuonesha/kiwakilishi kioneshi) ni neno/maneno yanayosimama badala ya nomino ili kujulisha/kudokeza ukaribu au umbali wa nomino hiyo ambayo hutoka kwa mzungumzaji. Mfano:

  • Hili limeiva
  • Yule ni mvivu
  • Hicho ni kitamu sana
  • Huyu ni kijana wangu
  • Wale wameondoka

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Viwakilishi vya kuonesha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.