Nomino za wingi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mifano
  • Maji yamejaza tangi
  • Mchanga wa pwani unafaa kuandalia karanga
  • Chumvi nyingi haifai kwa afya
  • Sukari nyingi haifai kwa afya

Nomino za wingi ni maneno yanayotaja majina ya vitu vinavyopatikana katika wingi tu, basi. Vitu hivyo haviwezi kutenganishwa katika kimojakimoja na kikatajwa kwa jina lake la pekee.

Mifano

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nomino za wingi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.