Nomino za pekee

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mifano
  • Juma na Sarah hula matunda adhuhuri
  • Diana ameandaa mchuzi wa samaki
  • Asha yu mzima wa afya kwa sababu ya kula chakula chenye virutubishi
  • Richard amefaulu kuosha maembe aliyochuma

Nomino za pekee ni maneno yanayotaja majina mahususi ya watu, mahali au vitu ambavyo vina sifa ya pekee. Maneno hayo yanapoandikwa lazima yaanze na herufi kubwa mwanzoni.

Mifano
  • Dar es Salaam kuna msongamano wa magari sana
  • Nairobi hakuna wakora wengi
  • Oliver amesafiri kutafuta maziwa ya mbuzi
  • Anna yupo shuleni kujifunza lishe bora
  • Mlima Kilimanjaro una miti mingi ya matunda

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nomino za pekee kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.