Nenda kwa yaliyomo

Kupika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Upishi)
Mtu akiwa anapika katika mgahawa huko Moroko.
Kupika huko Cote d'Ivoire.

Kupika ni mchakato wa kuandaa chakula ili kiliwe. Mahali ambapo watu wanafanya hivyo ni jikoni, nao wanaitwa wapishi.

Joto linaweza kufanywa kwa moto kwa kutumia kuni, mkaa, nishati ya jua au kwa jiko la kutumia umeme.

Tanuri ni sehemu ya jiko ambalo ni kama sanduku. Watu hujenga sehemu hizo kwa kutumia matofali au udongo.

Kuna njia mbalimbali za kupika chakula. Tunachemsha chakula kwa kukipika ndani ya maji, kukaanga chakula kwa kukipikia siagi kali na mafuta, kuchoma nyama kwa kuiweka juu ya moto au kutumia jiko la kisasa la kuchomea nyama zinazotumia makaa, stima au gesi.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kupika kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.