Nenda kwa yaliyomo

Jiko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Jikoni)
Jiko la kisasa.

Jiko (pengine pia: "meko", hasa yakitumika mafiga) ni chumba au sehemu ya chumba maalumu kinachotumiwa kupika na kuandaa chakula nyumbani au kwa biashara.

Jikoni kawaida kuna vifaa vya kupikia kwa kutumia nishati mbalimbali ambavyo vinaitwa pia jiko: nyumba nyingine zina majiko ya umeme, majiko ya gesi, majiko ya kutumia makaa, majiko ya kutumia kuni n.k. Kazi kuu ya jikoni hutumikia kama eneo la kuhifadhi, kupika na kuandaa chakula lakini pia inaweza kutumika kwa ajili ya kula.

Jiko lina majina mbalimbali kutokana na utamaduni. Uchina, jiko linaitwa chúfáng, huko Japani ni Daidokoro na India ni rasoi au Swayampak ghar.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jiko kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.