Transista

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya transista.

Transista (kwa Kiingereza: en:transistor) ni kifaa cha kielektroniki chenye uwezo wa kukuza na kuunganisha taarifa za kieletroniki [1] na taarifa za kiumeme [2][dead link]. Hutumika kama swichi, au kukuza ukubwa wa mitetemo (signals).

Imeundwa na malighafi za semikonda [2] na kuwa na utando wa semikonda za aina tatu zilizobandikwa pamoja, ambazo huwa mbili za kufanana kila upande na moja tofauti katikati, kwa mfano: pnp au npn.

Transista ndio msingi wa ufundi wa kielektroniki.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]