Swichi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hii ni picha ya swichi ya kuwasha taa.

Swichi (kutoka Kiingereza "switch") ni sehemu inayotumika kufanya mzunguko wa umeme kwa ajili ya kuchaji simu, tochi na kuwasha taa kwa ajili ya kutupatia mwanga.

Pia hutumika kuwasha vitu vinavyotumia umeme kama: runinga, redio,pasi, jokofu n.k.