Nenda kwa yaliyomo

Mtende (mti)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Phoenix)
Mtende
(Phoenix spp.)
Mtende unaobeba matende
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Arecales (Mimea kama mpopoo)
Familia: Arecaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mpopoo)
Nusufamilia: Coryphoideae
Jenasi: Phoenix
L.
Spishi: * P. Acaulis Roxb.

Mitende (Phoenix spp.) ni miti ya familia Aracaceae na oda Arecales inayozaa matunda yaitwayo matende. Spishi inayojulikana sana ni mtende wa kawaida (P. dactylifera) au mtende kwa ufupi, unaokuzwa kwa matunda yake makubwa na matamu sana. Spishi nyingine, k.m. mtende wa Kanari (P. canariensis) na mtende mfupi (P. roebelenii), hupandwa mahali pengi kwa sababu za uzuri. Kiasili hutokea kutoka Visiwa vya Kanari kupitia Afrika ya Kaskazini na ya Kati, Kreta, Mashariki ya Kati na Asia ya Kusini hadi kusini mwa Uchina na Malaysia. Makazi yao ni pamoja na majangwa, vinamasi na nyangwa.

Spishi za Afrika

[hariri | hariri chanzo]

Spishi za Asia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mtende (mti) kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.