Mpopoo
Mpopoo (Areca catechu) | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
![]() | ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Mpopoo (Areca catechu, betelpalm) ni mti unaozaa popoo. Kokwa hii huliwa sana huko Asia ya Kusini na Kusini-Mashariki na pia katika nchi kadhaa za Afrika ya Mashariki zenye idadi kubwa za Wahindi. Jenasi Areca ni jenasi-mfano ya familia Arecaceae.