Kahawia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Brown)

Kahawia (pia: hudhurungi kutoka neno la Kiarabu) ni rangi mojawapo. Inafanana na maji ya kunde, udongo na kahawa: ndiyo asili ya jina lake.

Vitu vyenye rangi ya kahawia[hariri | hariri chanzo]