Nenda kwa yaliyomo

Alex Ferguson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Sir Alex Ferguson)
Picha ya Alex Ferguson.

Sir Alexander Chapman "Alex" Ferguson (amezaliwa tarehe 31 Desemba 1941) ni meneja wa mpira wa miguu kutoka nchini Uskoti.

Anasimamia klabu ya Manchester United. Zamani alikuwa meneja wa klabu za Aberdeen na St Mirren.

Alipokea tuzo nyingi kushinda mwingine yeyote katika historia ya soka ya Ufalme wa Muungano.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alex Ferguson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.