Nenda kwa yaliyomo

Roger Federer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Roger Federer
Roger Federer 2009
Roger Federer 2009
Alizaliwa 8 Agosti 1981 Uswisi
Kazi yake sport - tenisi

Roger Federer (8 Agosti 1981, Basel; tamka: rod-jer fe-de-rer) ni mchezaji tenisi kutoka Uswisi. Federer alishinda mashindano 17 ya grand slam akaongoza mara nne orodha ya wachezaji bora duniani. Federer anatazamiwa na wabingwa wa tenisi kuwa kati ya wachezi bora kabisa katika historia ya michezo hii..[1]

Grand Slam

[hariri | hariri chanzo]
  • Australia open: Mshindi 2004, 2006, 2007, 2010.
  • Ufaransa open: Mshindi 2009.
  • Wimbledon: Mshindi 2003, 2004, 2005 ,2006, 2007, 2009, 2012.
  • Marekani open: Mshindi 2004, 2005 ,2006, 2007, 2008.

Picha nyumba ya sanaa

[hariri | hariri chanzo]
  1. ATP World Rankings 2 Desemba 2012.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]


Wikimedia Commons ina media kuhusu: