Homer

From Wikipedia
Jump to navigation Jump to search
Sanamu hii ya Homer inapatkana katika makumbusho ya Kiingereza London; ni mwigo wa Kiroma wa mfano wa Kigiriki
Homer (William Bouguereau, 1874)

Homeri (pia: Homer; kwa Kigiriki: Ὅμηρος homeros) ni jina la mshairi mashuhuri kabisa wa Ugiriki ya Kale. Mashairi makubwa yanayosimulia vita vya Troya (Ilias) na misafara ya mfalme Odiseo (Utenzi wa Odisei) yamehifadhiwa kama kazi zake.

Maswali juu yake[edit | edit source]

Wataalamu wa leo hutofautiana kama Homeri alikuwa kweli mtunzi wa mashairi hayo au kama ni sehemu za mashairi haya tu yaliyotungwa naye wakiamini ya kwamba kwa jumla ni mashairi ya kale yaliyowahi kuimbwa kabla yake. Pia kuna wataalamu wanaouliza kama Homeri alikuwa mtu wa kihistoria au kama ni jina tu lililopachikwa kwa mashairi haya.

Maisha[edit | edit source]

Kufuatana na mapokeo ya kale Homeri alikuwa mshairi kipofu aliyeishi katika eneo la Ionia (Asia Ndogo) lililokaliwa na walowezi Wagiriki mnamo karne wa 8 KK. Miji mbalimbali ya Ionia hutajwa kama mahali pa kuzaliwa kwake. Jina la mama yake lilikuwa Kreitheïs. Anasemekana alikufa kwenye kisiwa cha Ios.

Kujisomea[edit | edit source]

Matoleo ya kazi yake[edit | edit source]

Kwa Kigiriki

Tafsiri ya mstari-kwa-mstari[edit | edit source]

Tafsiri kadhaa kwa Kiingereza[edit | edit source]

Kuhusu Homer[edit | edit source]

Maandiko muhimu juu ya Homer[edit | edit source]

Maelezo ya maandiko yake[edit | edit source]

Kuhusu tarehe za mashairi yake[edit | edit source]

  • Janko, Richard (1982). Homer, Hesiod and the Hymns: Diachronic Development in Epic Diction, Cambridge Classical Studies. Cambridge: Cambridge University Press. 

Viungo vya nje[edit | edit source]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikiquote-logo.svg
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Wikiquote-logo.svg
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Inkwell icon - Noun Project 2512.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Homer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.