Simba-milima

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Simba-milima
Cougar 25.jpg
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Carnivora (Wanyama mbua)
Nusuoda: Feliformia (Wanyama kama paka)
Familia: Felidae (Wanyama walio na mnasaba na paka)
Nusufamilia: Felinae (Wanyama wanaofanana na paka)
Jenasi: Puma
Jardine, 1834
Spishi: P. concolor
(Linnaeus, 1771)
Usambazaji wa simbo-milima (kijani)
Usambazaji wa simbo-milima (kijani)

Simba-milima (kutoka Kiing.: mountain lion, Kisayansi: Puma concolor) ni paka mkubwa wa Amerika.

WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Simba-milima" inatumia neno (au maneno) ambalo si kawaida na matumizi yake ni jaribio la kutafsiri neno (au maneno) la asili mountain lion kutoka kwa lugha ya Kiingereza. Neno (au maneno) la jaribio ni simba-milima.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.

Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.