Mauna Loa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mauna Loa ni mlima wa volikano katika jimbo la Hawaii (Marekani).

Una kimo cha mita 4,169 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mauna Loa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.