Gabriel García Márquez

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Gabriel García Márquez
Tuzo Nobel.png

Gabriel García Márquez (6 Machi 1928 - 17 Aprili 2014) ni mwandishi kutoka nchi ya Kolombia na kufanya kazi kama mwandishi wa habari katika nchi mbalimbali za Amerika na Ulaya. Anajulikana hasa kwa riwaya zake, kwa mfano "Upendo wakati wa Kipindupindu" (kwa Kihispania El amor en los tiempos del cólera) iliyotolewa mwaka wa 1985. Mwaka wa 1982 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.


Inkwell icon - Noun Project 2512.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gabriel García Márquez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.