John Milton

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
John Milton

John Milton (jiji la London, 9 Desemba 1608 - 8 Novemba 1674) alikuwa mshairi na mwanahistoria wa Uingereza.

Anajulikana kama mwandishi bora wa Kiingereza baada ya William Shakespeare.

Anajulikana sana kwa shairi lake liitwalo Kupotea kwa Paradiso na lingine liitwalo Kurudishwa kwa Paradiso.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Milton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.