Nenda kwa yaliyomo

Jack Kilby

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jack St. Clair Kilby (8 Novemba, 1923 - 20 Juni, 2005) alikuwa mhandisi umeme kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza na kutengenza vifaa vya umeme. Mwaka wa 2000, pamoja na Zhores Alfyorov na Herbert Kroemer, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jack Kilby kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.