Li Bai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uchoraji wa Li Bai

Li Bai (mnamo 701-762) alikuwa mshairi nchini China wakati wa nasaba ya Tang. Mara nyingi hutajwa kama mmoja wa washairi wakubwa wa China. Zaidi ya mashairi yake 1,000 yamehifadhiwa.