Joka wa Komodo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Joka wa Komodo
Joka wa Komodo (Varanus komodoensis)
Joka wa Komodo (Varanus komodoensis)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Reptilia (Wanyama wenye damu baridi na magamba ngozini)
Oda: Squamata (Mijusi, mijusi-nyungunyungu na nyoka)
Nusuoda: Lacertilia
Familia: Varanidae
Jenasi: Varanus
Spishi: V. komodoensis
Ouwens, 1912

Joka wa Komodo (Varanus komodoensis) ni spishi kubwa kushinda mijusi wote. Joka wa Komodo anatokea visiwa vya Komodo, Rinca, Gili Motang na Flores katika Indonesia.

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joka wa Komodo kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.