Baba Yaga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Baba Yaga na kijana katika mchoro wa I. Bilibin (mnamo 1911).

Baba Yaga ni mhusika katika mitholojia ya Urusi na mataifa mengine ya Kislavoni. Hapo ndiye mchawi wa kike anayewazwa kama mwanamke mbaya asiyependeza. Katika hadithi zake anaishi kwenye nyumba inayosimama juu ya mguu wa kuku.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Baba Yaga kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.