Nenda kwa yaliyomo

Sarah Bernhardt

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sarah Bernhardt

Sarah Bernhardt
Amezaliwa (23 Oktoba 1844
Amekufa 26 Machi 1923
Kazi yake mwigizaji tamthilia wa Kifaransa

Sarah Bernhardt (23 Oktoba 1844 - 26 Machi 1923) alikuwa mwigizaji tamthilia wa Kifaransa, na mara nyingi hufikiriwa kama miongoni mwa waigizaji maarufu zaidi katika historia ya uigizaji tamthilia duniani. Mwanzoni mwa karne ya 20, aliigiza pia katika filamu za kwanza.

Bernhardt ameanza kujibebea umaarufu katika Ulaya kunako miaka ya 1870, na baada ya muda mchache akawa anafanya shughuli hizo Ulaya na Amerika pia. Aliendeleza heshima yake kama mwigizaji aliyepania katika shughuli hizo, na akapewa jina la utani kama "Mtukufu Sarah".

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sarah Bernhardt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.