Nagoya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Nagoya

Bendera

Lua error in Module:Location_map at line 510: Unable to find the specified location map definition: "Module:Location map/data/Japani" does not exist.Mahali pa mji wa Nagoya katika Japani

Majiranukta: 35°11′00″N 136°54′00″E / 35.183333°N 136.9°E / 35.183333; 136.9
Nchi Japani
Kanda
Mkoa Aichi
Idadi ya wakazi
 - 2,258,804
Tovuti: http://www.city.nagoya.jp/
Mji wa Nagoya
Mahali pa Nagoya katika Aichi na Japani

Nagoya (名古屋市, Nagoya-shi) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Aichi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2010, mji una wakazi wapatao milioni 2.3 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 9 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 326.45 km².

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

  • (Kijapani) (Kiingereza) (Kichina) (Kikorea) (Kihispania) (Kireno) (Kiitalia) {{[[Kigezo:{{{1}}}|{{{1}}}]]}} Tovuti
Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Japangeo.png Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nagoya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.