Alpi za Kusini
Mandhari
(Elekezwa kutoka Southern Alps)
Alpi za Kusini ni safu ya milima nchini New Zealand. Safu hii inaenea urefu wote wa Kisiwa cha Kusini.
Kilele kirefu zaidi cha Alpi za Kusini ni Aoraki (Mount Cook) ambayo imefikia kimo cha mita 3,754. [1]
Jina lilibuniwa na nahodha James Cook tarehe 23 Machi 1770: alipoona milima hiyo mirefu alikumbushwa milima ya Alpi ya Ulaya. [2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Aoraki/Mount Cook National Park". Department of Conservation. Iliwekwa mnamo 2013-12-11.
- ↑ Reed, A.W. Place names of New Zealand. uk. 384.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|