Aoraki
Jump to navigation
Jump to search
Aoraki (Mlima Cook) ndio mrefu kuliko yote ya nchi.
Aoraki ni mrefu kuliko milima yote ya New Zealand wenye kimo cha mita 3,754 juu ya usawa wa bahari.
Kama milima yote 30 mirefu zaidi ya nchi hiyo, uko katika kisiwa cha kusini.
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
| Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Aoraki kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|