Maziwa ya soya
Mandhari
(Elekezwa kutoka Soy milk)
Maziwa ya soya ni kinywaji kinachofanana na maziwa lakini kinatokana na mbegu za soya.
Maziwa ya soya yana asili yake huko China ambapo soya imetoka. Baadaye, mimea ya soya na vyakula vyake vilikuja Japan, hatimaye kusambaa kote duniani.
Walaji mboga upande wa vegani wanaitumia kwa sababu haina uhusiano na wanyama, wengine wanaipendelea kwa sababu za kiafya[1]. Katika Ulaya hairuhusiwi kuuzwa kwa jina la "maziwa"[2].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Climate change: Which vegan milk is best?, BBC 14.06.2019
- ↑ EU court bans dairy-style names for soya and tofu, tovuti ya BBC 14 Juni 2017
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Maziwa ya soya kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |