Nenda kwa yaliyomo

Carl Gustaf Emil Mannerheim

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Carl Gustaf Emil Mannerheim

Garl Gustaf Emil Mannerheim (Askainen, 4 Juni 1867 - Lausanne, Uswisi, 27 Januari 1951) [1] alikuwa regent wa Ufini (1918-1919), rais wa Ufini wa sita (1944-1946) na amirijeshi mkuu wa jeshi wa Ufini (1918-1919 na 1939-1945). Kabla ya uhuru wa Ufini Mannerheim alihudumu katika jeshi la Urusi karibu miaka thelathini.[2]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Meilander. Gustaf Mannerheim - Aristokraatti sarkatakissa. Otava, Helsinki 2017.
  2. Firman. Kadetti Mannerheim. Gummerus, Helsinki 2011.
Wikimedia Commons ina media kuhusu: