Amirijeshi mkuu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rais Alberto Ángel Fernández wa Argentina, kama kamanda mkuu wa majeshi ya Argentina tangu 10 Desemba 2019.

Amirijeshi mkuu (kwa Kiingereza: "commander-in-chief") ni kiongozi wa majeshi yote ya nchi fulani.

Kwa mfano nchini Tanzania amirijeshi mkuu ni rais: ndiye anayetoa amri kwa majeshi yake yote. Kwa sasa amirijeshi wa Tanzania ni rais Samia Suluhu Hassan.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amirijeshi mkuu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.