Rais wa Ufini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rais wa Ufini ni mkuu wa nchi wa jamhuri ya Ufini. Jamhuri hiyo imekuwa na marais kumi na wawili.[1] Rais wa Ufini huongoza sera ya kigeni pamoja na baraza la jimbo. Anaongoza jeshi wa Ufini pia.[2]

Orodha ya marais wa Ufini[3]

Kaarlo Juho Ståhlberg (1919 - 1925)

Lauri Kristian Relander (1925 - 1931)

Pehr Evind Svinhufvud (1931 - 1937)

Kyösti Kallio (1937 - 1940)

Risto Heikki Ryti (19.12.1940 - 1943 na 1943 - 1944)

Carl Gustaf Emil Mannerheim (4.8.1944 - 8.3.1946)

Juho Kusti Paasikivi (1946 - 1956)

Urho Kaleva Kekkonen (1956 - 1981)

Mauno Henrik Koivisto (1981 vuli na 1982 - 1994)

Martti Ahtisaari (1994 - 2000)

Tarja Halonen (2000 - 2012)

Sauli Niinistö (2012 -)

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Suomen presidentit". Suomen presidentit (kwa Kifini). Iliwekwa mnamo 2023-04-12. 
  2. Edita Publishing Oy. "FINLEX ® - Ajantasainen lainsäädäntö: Suomen perustuslaki 731/1999". finlex.fi (kwa Kifini). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2004-10-09. Iliwekwa mnamo 2023-04-12. 
  3. "Suomen presidentit". Suomen presidentit (kwa Kifini). Iliwekwa mnamo 2023-04-12.